Unsonji ni Nini…. What is Autism?

Usonji ni tatizo linalotokea katika ukuaji na linaathiri namna mtu anavyohusiana na wengine, katika mawasiliano/lugha, tabia yake na namna anavyouelewa ulimwengu.  Hujidhihirisha zaidi mtoto anapofikia umri wa miaka 3. Kisababishi hakijulikani. 


Autism is a disability that impacts a person’s ability to communicate, their behavior, and their ability to relate to other people.  The characteristics of this disability are often visible by the age of 3 years old.  Currently there is no identified cause.

____________________
Dalili kuu za watu wenyw usoni ni:

 • Hawapendi kujihusisha na watu (social interaction)

 • Inakuwa vigumu kuchangamana na watoto wenzake kama wile kwenye michezo, na kuelewa hisia za watu wengine (poor communication)

 • Tabia ya kurudia rudia vitu (Repetitive behavior)


The main characteristics of autism impact a person’s ability to:

 • Interact in socially appropriate ways

 • Communicate with others and understand the meaning of others communication

 • Manage their behavior without repetition

____________________

Namna gani unaweza kumtambua mtu mwenye usonji:

 • Inakuwa vigumu kutazama watu machoni (poor eye contact)

 • Wana tabia ya kukaa wenyewe (kujitenga)

 • Hawapendi mabadiliko

 • Hawawezi kuchezea sauti kabla ya miezi kumi na mbili

 • Hawawezi kuongea sentensi au kurudia sentensi baada ya miaka miwili

 • Wanapoteza uwezo wa kuongea au kujifunza

 • Huwa na uwezo mkubwa na kukumbuka vitu


Some common signs of autism include:

 • Poor Eye Contact

 • Tendency to isolate from others

 • A strong dislike of change

 • Not making sounds before 1 year.

 • Not speaking in a sentence or repeating sentences after two years

 • They seem to lose or lack the ability to speak or learn

 • They remember large numbers of facts or lists

​____________________

Wanaweza kufanya vizuri shuleni, chuoni, na hata kwenye kazi.  Wanaweza kuwa na uwezo maalum kwenye vitu mfano mahesabu, pazzo, au ufundi Fulani.  Wanaweza kuwa na matatizo kujifunza kama vile kutoweza kusoma na kuandika.  Kusaidia watoto hawa ni kuwapa huduma ya shule ya awali na elimu maalum mapema. 


People with autism CAN do well in school, they CAN attend college, and they CAN even work. They are not incapable; instead they have different abilities. They may have learning difficulties such as the inability to read and write, but they can excel in other areas if given the chance and support. The best way to help these children is to provide early childhood interventions.   Unganisha Elimisha
Unganisha Elimisha

255 (0) 713 401 595

AUTISM BASICS 

Autism Basics

This block contains code to navigation deadlinks This block will not be visible on the live site.

DO NOT DELETE